Hebrews 1:5

5 aKwa maana ni malaika yupi ambaye wakati wowote Mungu alipata kumwambia,

“Wewe ni Mwanangu;
leo mimi nimekuzaa?”
Au tena,

“Mimi nitakuwa Baba yake,
naye atakuwa Mwanangu?”
Copyright information for SwhNEN